Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Alexander Mnyeti alipowasili mkoani humo kwa jailli ya ziara ya kikazi. Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akizungumza wakati wa mahafali ya darasa la saba katika Shule ya awali na Msingi ya Kingereza Hosiana iliyopo Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akiongoza kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, kilichofanyika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 19 Septemba 2026. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa RaisDkt. Latifa Mohammed Khamis naKatibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dkt. Islam Seif Salum. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akihutubia wakati wa ufunguzi wa kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, kilichofanyika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 19 Septemba 2026. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizungumza wakati wa ziara ya kukagua uzingatiaji sheria ya mazingira katika kiwanda cha A TO Z jijini Arusha. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizungumza wakati wa ziara mkoani Arusha. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini Austria leo tarehe 14 Septemba 2026. Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akitoa tamko kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni inayoadhimishwa Septemba 16, kila mwaka. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa
slot gacor