Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni Oktoba 11, 2026, akifanya ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za usafi na hatua zinazochukuliwa kutunza mazingira katika Mto Ng’ombe, uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Read More