Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Masauni hafla ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja, Januari 27,2026 ambapo Rais Mhe. Dkt. Samia aliongoza zoezi la kupanda miti.
Read More