Fursa za biashara ya kaboni kuinufaisha Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuna fursa kubwa ambayo Tanzania itanufaika katika biashara ya kaboni. Amesema hayo bungeni jijini…
Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuna fursa kubwa ambayo Tanzania itanufaika katika biashara ya kaboni. Amesema hayo bungeni jijini…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali imetunga Sheria Maalum No. 18 ya mwaka 2004, mahsusi kwa ajili ya waasisi…
Serikali imesema inaendelea na kazi ya kutathmini athari za mafuriko kwenye maeneo yaliathiriwa na mvua ili kupata taarifa za uharibifu wa mazingira. Imesema taarifa hiyo itasaidia kuona namna bora ya…
Fedha za Mfuko wa Jimbo zimeendelea kuleta tija na matokeo chanya katika kuimarisha na kukuza uchumi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijibu maswali bungeni jijini Dodoma leo Aprili 05, 2024. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu…
Serikali imeanza kufanya marekebisho ya kubadili muundo wa Baraza la Taifa na Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA). Naibu Waziri Ofisi ya…
============================================================================ Serikali imezielekeza Mamlaka za Serikali za Mitaa kutekeleza jukumu lao la kuhakikisha taka zote katika maeneo yao zinakusanywa na kutupwa katika madampo yaliyopo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Najma Murtaza Giga…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe Mhe. Kavejuru Felix bungeni jijini Dodoma leo Februari 5,…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati wa Kikao…