Naibu Waziri Chande akabidhi vyumba vya madarasa Jimbo la Kojani
Muonekano wa Banda moja lenye vyumba vinne vya kusomea wanafunzi wa skuli ya Msingi Kangagani likiwa limeshamalizika na linatumika, lililojengwa na wafadhili mbali mbali kupitia mbunge wa jimbo la Kojani…