Makamu wa Rais awataka wafanyabiashara kuwasaidia wananchi kumudu gesi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani pamoja na Uzinduzi wa Kampeni Kabambe ya…