Naibu Waziri Khamis: Nishati safi ya kupikia itapunguza ukataji wa miti
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali katika Kikao cha 20 Mkutano wa 15 wa Bunge jijini jijini Dodoma leo tarehe…