Waziri Dkt. Jafo awapa kibarua TARURA, Jiji la Dodoma kupanda miti barabara za Mji wa Serikali
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo (katikati) akiwa katika ziara ya kukagua mazingira kando mwa barabara za Mji wa Serikali Mtumba…