Jafo:Tanzania imejidhatiti katika kujenga uchumi wa kijani
Washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo wakati akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa ‘Middle East Green Initiatives’ uliofanyika mjini Riyadh nchini…