Katibu Mkuu Maganga afungua Warsha ya Matumizi ya Bahari
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifungua warsha ya Mafunzo ya Kikandakuhusu Mpango wa Matumizi ya Eneo la Bahari (Marine Spatial Planning - MSP) na Ukanda…
Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifungua warsha ya Mafunzo ya Kikandakuhusu Mpango wa Matumizi ya Eneo la Bahari (Marine Spatial Planning - MSP) na Ukanda…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ukerewe mara baada ya kuifungua Rasmi…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi pamoja na wananchi waliojitokeza katika Hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa…
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma Dkt. Hamisi Mkanacha akikabidhi ya hati miliki ya kimilila kwa mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Haubi ambayo imetolewa na Serikali kupitia Ofisi…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga amezitaka nchi zinazotekeleza Mradi wa Kupunguza Uzalishaji wa Kemikali Sumu aina ya uPOPs zinazodumu kwenye mazingira kwa muda mrefu zinazotokana…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema kuanzishwa kwa Programu ya Uchumi wa Bluu kwa Afrika itachochea upatikanaji wa fedha za kusaidia…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis (kulia) akisalimiana na Bi. Janet Rogan mjumbe kutoka Serikali ya Uingereza katika Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis (kushoto) akizungumza na Bi. Rachel Kennedy mmoja ya wawezeshaji katika mjadala ulioandaliwa na Benki ya Dunia kuhusu jitihada za…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiongoza Kikao cha Pili cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Crypian Luhemeja wakati alipotembelea mitambo ya uzalishaji Maji…