Jafo: Serikali yaongeza ubunifu kukabili mabadiliko ya tabianchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo amesema kuwa Serikali imeongeza ubunifu katika kukabilina na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi.Jafo alitoa kauli…