Wakulima wafundishwa kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi
Wakulima wanaonufaika na Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo kame Tanzania (LDSF) wakijifunza kuhusu teknolojia za kilimo hifadhi cha Mbegu Tisa na Jembe la…