Waziri Jafo ashiriki zoezi la usafi Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishiriki katika zoezi la usafi wa mwisho wa mwezi katika Soko la Bonanza jijini Dodoma…
Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishiriki katika zoezi la usafi wa mwisho wa mwezi katika Soko la Bonanza jijini Dodoma…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano…
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama akizungumza na wa Muguda wa Kijiji cha Muguda wilayani Kishapu mkoani shinyanga alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini mara baada ya kushiriki ibada ya misa takatifu katika Kanisa kuu katoliki la Bikira…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Katuma tarafa ya Mwese Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wakati wa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akizungumza wakati wa ziara kwenye kiwanda cha Iron and Steel ltd kilichopo Mikocheni mkoani Dar…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khanis akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya boti sita za uvuvi na vifaa vyake iliyofanywa na…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia Mheshimiwa Macocha Tembele, mazungumzo yaliofanyika Jijini Dar es salaam leo…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (second right) akizungumza na Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na muasisi wa Muungano…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika uzinduzi wa Mpango Mkakati wa kusimamia Mazingira katika Ziwa Victoria.Uzinduzi huo umefanyika leo…