Dkt. Jafo asitisha uchimbaji usiokidhi sheria ya mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika ziara ya kukagua mazingira katika mlima wa Yobo linalochimbwa madini aina ya nickel…