Waziri jafo apokea Taarifa ya Usafishaji Mto Msimbazi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikabidhiwa Taarifa fupi ya Usafishaji wa Mto Msimbazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha…
Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akikabidhiwa Taarifa fupi ya Usafishaji wa Mto Msimbazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Mipango na Maendeleo wa Ivory Coast Mheshimiwa Kaba Nialé mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege…
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama akifungua Warsha ya Kukuza uelewa wa Wataalamu kuhusu Sera ya Taifa ya Mazingira na Usimamizi wa Matumizi Salama…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Plan International Dkt. Mona Girgis ofisini kwake Mtumba…
======================================================== Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amekemea tabia kwa baadhi ya wananchi kukata miti hali inayosababisha uharibifu wa mazingira. Ametoa kauli…
==================================================================== Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa siku nne kwa Kikosi kazi cha kusimamia Muongozo wa usafishaji mchanga kwa Mkoa…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza na wananchi wa kata ya Ihusi-Bariadi, Mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara wakati kamati ya…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Bi. Grace Makalla ambaye ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango akitoa salamu za serikali kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Ibada maalum ya Kumuombea Baba…
Naibu Waziri Khamis akizungumza wakati wa ziara ya Kamati ya Mawaziri mkoani Rukwa ambapo amewataka viongozi wa mikoa kutoa elimu ya upandaji miti. ==================================================================== Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa…