Makamu wa Rais: Serikali kuendeleza ushirikiano na Kanisa Katoliki, madhehebu mengine
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifurahia jambo na Mwadhama Kardinali Protase Rugambwa mara baada ya kumpokea alivyowasili nchini katika Uwanja wa Ndege…