Waziri Jafo ahamasisha wanafunzi kufanya tafiti za mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo (wa nne kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Mradi wa Ustawishaji miche kwa kutumia vyungu unaotumia maji kidogo…