Kilindi yatekeleza programu kukabiliana na athari za manbadiliko ya tabianchi
Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga inatekeleza programu mbalimbali zinazolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hifadhi ya mazingira, udhibiti wa taka na utunzaji wa vyanzo vya maji…