Dkt. Mpango: Hayati Chilima alikuwa kiongozi imara
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa salamu za rambirambi wakati wa Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…
Makamu wa Rais awasili Malawi kushiriki mazishi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa…
Serikali, IMF kuimarisha uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
============================================================================ Serikali ipo katika majadiliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kuimarisha uwezo wa nchi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Hatua hiyo inafanyika kuwezesha Tanzania…
Waziri Mkuu: Serikali kuendelea kutoa elimu ya Muungano
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema hatua ya utatuzi wa hoja za Muungano imefikia pazuri hivyo ni jukumu la Serikali kuendelea kutoa elimu hususan kwa vijana ili wapate uelewa kuhusu…
Makamu wa Rais akoshwa utekelezaji wa mradi wa maji
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso mara baada ya kuwasili katika eneo la Nyumba ya…
Naibu Katibu Mkuu Mndeme: Ajenda ya nishati safi ya kupikia ni uchumi
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amesema ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni uchumi kwani inaokoa muda wa kutafuta kuni na kujikita…
Serikali kuwakutanisha wawekezaji wa pembezoni mwa barabara kukijanisha nchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika kikao cha pamoja na Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa kujadili mradi wa kukijanisha…
Serikali yaridhia mikataba 12 ya Hifadhi ya Mazingira
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni wakati wa Kikao cha 45 Mkutano wa 15 wa Bunge jijini Dodoma leo…
Dkt. Jafo: Miti milioni 266 imepandwa kwenye halmashauri
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijibu maswali bungeni wakati wa Kikao cha 44 Mkutano wa 15 wa Bunge jijini Dodoma…
Dkt. Mpango: Dira 2050 itambue mahitaji ya vijana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kushiriki Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu Maandalizi ya Dira…