Makamu wa Rais awasili Uswisi kushirikiana Mkutano wa Jukwa la Uchumi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich nchini Uswisi. Tarehe 14 Januari 2024. =============================================================================…