Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume – Zanzibar ambapo leo Januari 12, 2024 Makamu wa Rais anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume – Zanzibar ambapo leo Januari 12, 2024 Makamu wa Rais anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume – Zanzibar ambapo leo Januari 12, 2024 Makamu wa Rais anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *