Dkt. Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa kuboresha upatikanaji huduma za maji Tanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kijiji cha Pande kwaajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi…