Makamu wa Rais ataka wazazi kusimamia elimu ya watoto
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mparachichi katika Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini…
Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Mparachichi katika Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba, Zanzibar ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Skuli…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akihutubia katika mahafali ya Shule ya Sekondari ya Fountain Gate Dodoma Aprili 20, 2024 ambapo…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewahimza Watanzania kutafakari na kutathmini masuala muhimu yaliyokusudiwa na waasisi wa Muungano. Amesema kupitia waasisi hao…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akifungua Maonesho ya Biashara Miaka 60 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwasili katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo Aprili 19, 2024 kwa ajili ya…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema miongoni mwa sababu za kudumu kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) ni udugu…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizindua Mradi wa ‘Twiga wa Kijani’ unaohusisha zoezi la upandaji wa miti katika shule za…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kijiji cha Pande kwaajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi…