Dkt. Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa kuboresha upatikanaji huduma za maji Tanga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kijiji cha Pande kwaajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani. Tarehe 22 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Watumishi wa Mamlaka ya Maji Tanga pamoja na wananchi wa Kijiji cha Pande mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Huduma ya Maji Tanga kupitia Hatifungani katika Mtambo wa kutibu na kuzalisha maji Mowe uliyopo Kijiji cha Pande mkoani Tanga. Tarehe 22 Februari 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *