Naibu Waziri Khamis awataka wachimbaji makaa ya mawe kufukia mashimo baada ya uchimbaji
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza na viongozi huo kufuatilia utekelezaji wa Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa…