Katibu Mkuu Maganga aongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Mradi wa EBARR
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Bi. Mary Maganga akiongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia…
Machinjio ya Tabora yamchefua Waziri Jafo, atoa maagizo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akikagua machinjio katika Manispaa ya Tabora ambapo ametoa maelekezo ya kukarabati mfumo wa maji taka ndani…
Kamati yatakiwa kupendekeza hatua za kuchukua kukabiliana na changamoto za Mradi
Washiriki wakiwa katika Kikao cha Kamati ya Kitaalamu ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo ya Ikolojia (EBARR) kutoka Halmashauri za Wilaya za Kishapu (Shinyanga), Mpwapwa (Dodoma),…
Jafo azitaka mamlaka za maji nchini kuwa na mifumo bora ya majitaka
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akiangalia mojawapo ya chemba za kupokea majitaka alipofanya ziara katika mabwawa yanayotibu majitaka kutoka Hospitali ya…
Wananchi watakiwa kuacha kuharibu kingo za mito
Serikali imewataka wananchi kuacha shughuli zinazosababisha uharibifu wa kingo za mito huo na badala yake wapande miti na majani yanayozuia ubomokaji wa kingo hizo. Hayo yamesemwa leo Mei 7, 2021…
Jafo: Maendeleo ya viwanda yaendane na uhifadhi wa mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda…
Jafo aagiza mfanyabiashara aliyetelekeza makontena akamatwe
lWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania na Mamlaka ya Bandari Tanzania kuhusu kontena…
Wataalamu waelekezi wa miradi watakiwa kufanya tathimini
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mohammed Khamis (kulia) Abdullah akifungua Mafunzo ya Mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmini, Uhasibu na Ugavi kwa wataalamu wawezeshaji wa halmashauri za wilaya…
Waziri Jafo aielekezeza DUWASA kuomba cheti za mazingira ujenzi wa bwawa la majitaka
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akikagua mifereji ya mabwawa ya majitaka katika maeneo ya Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma alipofanya…
Eneo la Mto Msimbazi kutoa fursa kwa wananchi
Serikali imesema imepanga kulibadili eneo la bonde la Mto Msimbazi kuwa eneo la uwekezaji na fursa mbalimbali ambapo tayari usanifu wa mradi huo umekamilika. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi…