Makamu wa Pili wa Rais aipongeza Sekretarieti ya Kushughulikia Muungano
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja ya Kushughulikia Masuala ya Muungano (hawapo pichani) ofisini kwake Vuga,…