Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed alipomtembelea katika Ofisi yake iliyopo Vuga, Zanzibar leo Mei 17, 2021.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *