Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Katibu Mkuu Ofisi yake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana Katibu Mkuu katika Ofisi yake Bi. Mary Ngelela Maganga wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 27,2021 na kufanya mazungmzo..

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *