Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho Mhe. Mahmoud Thabit Kombo. Makabidhiano hayo yamefanyika OfisiNI kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *