Katibu Mkuu Luhemeja ateta na Adaptation Fund
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu, Mhandisi Cyprian Luhemeja amefanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi (Adaptation Fund) katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Makamu…