Makamu wa Rais awataka vijana kumuenzi Baba wa Taifa kwa kutunza mazingira
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 102 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage…