Makamu wa Rais akiwasili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kushiriki Siku ya Wafanyakazi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri…
Serikali inatafiti mikaratusi kubaini athari za kimazingira
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Mkutano wa 15 Kikao cha 16 jijini Dodoma leo tarehe 30, 2024.…
Dkt. Jafo akutana na wadau wa uwekezaji teknolojia ya biashara ya Kaboni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya kikao na wadau wa uwekezaji wa biashara ya kaboni jijini Dodoma leo…
Dkt. Jafo: Ajenda ya kuhamasisha nishati safi ya kupikia iungwe mkono
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt.Selemeni Jafo akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi 1500 yakiwa na majiko yake kwa wananchi wa…
Waziri Jafo ashiriki hafla ya kuwaaga wastaafu NEMC
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga watendaji wastafu kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi…
Dkt. Jafo ahimiza taasisi zipande miti kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza Wakati wa zoezi la upandaji wa miti lililofanyika katika ofisi za Redio Jamii za…
Viongozi Ofisi ya Makamu wa Rais washiriki SherehE za Miaka 60 ya Muungano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisoma jarida la Uhuru ya Kijani wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa…
Makamu wa Rais aagiza UCSAF ihakikishe minara ya mawasiliano inafika vijijini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)…
Viongozi Ofisi ya Makamu wa Rais washiriki Uzinduzi wa Kitabu cha Miaka 60 ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu, Chamwino
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitoa maelezo kuhusu kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye…
Bunge lapitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge zilizojitokeza wakati wa michango mara baada ya kuwasilisha bajeti ya…