Yanayojiri katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye Maonesho ya Muungano Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassaj Mitawi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye…