Bunge lapitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akipongezana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mary Ngelela mara baada ya kupitishwa na Bunge kwa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2021. Wengine pichani ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi hiyo Mohammed Abdallah Khamis (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Dkt. Andrew Komba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na watendaji kutoka Ofisi hiyo mara baada ya kupitishwa na Bunge kwa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2021.
Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka akiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa Idara na Vitengo kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kupitishwa na Bunge kwa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2021.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya baada ya kupitishwa na Bunge kwa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2021.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mary Ngelela akiteta na Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Dkt. Andrew Komba mara baada ya kupitishwa na Bunge kwa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2021.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Catherine Bamwenzaki akiteta jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kikula Mkumbo mara baada ya kupitishwa na Bunge kwa Bajeti ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27, 2021.
Warugenzi Wasaidizi Idara ya Mazingira Kemilembe Mutasa na Faraja Ngelageza wakiwa katika viwanja vya Bunge mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi hiyo leo Aprili 27, 2021.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *