Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Ngelela Maganga (kulia) akizungumza na watumishi wa Makamu wa Rais iliyopo Tunguu, Zanzibar alipofanya ziara ya kujitambulisha na kutoa maelekezo mbalimbali kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yao. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi hiyo Bw. Mohammed Khamis Abdulla.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Ngelela Maganga (kulia) na Naibu wake Bw. Mohammed Khamis Abdulla wakioneshwa Ofisi mbalimbali katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopoTunguu, Zanzibar.
Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika kikao na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Ngelela Maganga Bw. Mohammed Khamis Abdulla.
Watumishi wakichangia wakati wa kikao.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *