Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la Mazingira na Maendeleo Endelevu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira na Maendeleo Endelevu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Viongozi mbalimbali, wadau na washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira na Maendeleo Endelevu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akifunga Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira na Maendeleo Endelevu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Andrew Komba akizungumza wakati wa Kongamano la Mazingira na Maendeleo Endelevu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akifunga Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *