Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande akiwa katika kikao na Kitengo cha Hifadhi ya Bioanuai Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais cha kupokea taarifa ya utekezaji wa majukumu ya kitengo hicho leo Julai 30, 2021 jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Hifadhi ya Bioanuai Idara ya Mazingira, Bw. Faraja Ngerageza akifafanua jambo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya kitengo hicho kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande leo Julai 30, 2021 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Hifadhi ya Bioanuai Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Faraja Ngerageza wakati akiwasilisha taarifa ya utekezaji wa majukumu ya kitengo hicho leo Julai 30, 2021 jijini Dodoma.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *