Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa akizungumza wakati wa warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika leo Septemba 27, 2021 jijini Dodoma. Afisa Mazingira kutoka Tume ya Madini, Bw. Abel Madaha akiwasilisha mada wakati wa warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika leo Septemba 27, 2021 jijini Dodoma. Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Onesphory Kamukuru akiwasilisha mada wakati wa warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu iliyofanyika leo Septemba 27, 2021 jijini Dodoma. Warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu ikiendelea jijini Dodoma. Washiriki wa warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu wakiwa katika picha ya pamoja. Post navigation Wataalamu waelekezi wa miradi watakiwa kufanya tathimini Dkt. Komba: Nyenzo kubwa ya kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo ni kutoa elimu