====================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameshiriki Dua ya kumbukizi ya kutimia miaka 50 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume iliyofanyika leo Aprili 7, 2022 katika Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui, Zanzibar.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *