Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (second right) akizungumza na Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na muasisi wa Muungano Hayati Sheikh Abeid Aman Karume, Bibi Fatma Karume alipomtembelea nyumbani kwake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini, Zanzibar hivi karibuni. (PHOTO – VPO) u wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) – Dodoma Bw. Khalid Bakar Hamran.

Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akizungumza na Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na muasisi wa Muungano Hayati Shekhe Abeid Aman Karume, Bibi Fatma Karume wakati wa ziara katika makazi yake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini, Zanzibar hivi karibuni.
Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na muasisi wa Muungano Hayati Shekhe Abeid Aman Karume, Bibi Fatma Karume akiperuzi kitabu cha Historia ya Muungano wakati wa ziara ya Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na ujumbe wake katika makazi yake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini, Zanzibar hivi karibuni.
Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na muasisi wa Muungano Hayati Sheikh Abeid Aman Karume, Bibi Fatma Karume akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na ujumbe wake walipomtembelea katika makazi yake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini, Zanzibar hivi karibuni.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiagana na Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na muasisi wa Muungano Hayati Sheikh Abeid Aman Karume, Bibi Fatma Karume baada ya kumtembelea na kufanya mazungumzo katika makazi yake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini, Zanzibar hivi karibuni.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *