Washiriki kutoka mataifa mbalimbali wakiendelea na Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo ulioandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano na Serikali ya Uingereza na kushirikisha zaidi ya nchi 20 duniani ambao ulifunguliwa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na kutarajiwa kufungwa leo..

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *