Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (mbele katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Semesi (Kushoto) akiwa ameambatana na Wajumbe wa Menejimenti ya NEMC mara baada ya kikao kazi kilichofanyika leo Januari 18, 2024 katika Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar EsSalaam. Dkt. Semesi ameteuliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo baada ya Dkt. Samuel Gwamaka kumaliza muda wake.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *