Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sustainable Finance kutoka European Union Commission Bi. Caroline Wellemans mara baada ya kikao kilichofanyika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiwa katika kikao na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sustainable Finance kutoka European Union Commission Bi. Caroline Wellemans na jumbe wake pamoja na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Sustainable Finance kutoka European Union Commission Bi. Caroline Wellemans (kulia) akiwa na ujumbe wake wakati wa kikao na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, kilichofanyika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na mtaalamu aliyembatana na ujumbe kutoka Taasisi ya Sustainable Finance kutoka European Union Commission akiwa katika kikao kati ya Karibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na Mkurugenzi wa taasisi hiyo Bi. Caroline Wellemans kilichofanyika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sustainable Finance kutoka European Union Commission Bi. Caroline Wellemans (wa nne kushoto) mara baada ya kikao kilichofanyika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya taasisi hiyo na Ofisi ya Makamu wa Rais hususan masuala ya Hati Fungani ya Kijani (Green Bond). Wengine pichani ni ujumbe ulioambatana na Mkurugenzi huyo pamoja na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais.

===========================================================================

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sustainable Finance kutoka European Union Commission Bi. Caroline Wellemans jijini Dodoma.

Katika kikao hicho Bi. Maganga na KM ni kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya taasisi hiyo na Ofisi ya Makamu wa Rais hususan masuala ya Hati Fungani ya Kijani (Green Bond).

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *