Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam ambapo anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho  kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *