Naibu Katibu Mkuu (Muungano) wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akishiriki zoezi la upandaji wa miti lililoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohamed Khamis Abdulla mbele ya Jengo la Ofisi Mpya za Wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali – Mtumba, Dodoma ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika Aprili 26, 2024.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *