Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akipanda mti katika Jengo jipya la Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma, leo Februari 2, 2024. Wapili Kushoto ni Waziri wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni, na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya. Bw. Mitawi aliipongeza wizara hiyo kwa kutekeleza agizo hilo huku akiwaasa watumishi kuhakikisha miti hiyo inakua ili iweze kuwa faraja na urithi kwa vizazi vijavyo.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *