Makamu wa Rais asisitiza mikakati Kiswahili kipate fursa za uchumi wa kidijiti
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Dhima ya Lugha za Asili katika kuendeleza Diplomasia…