Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Christina Mndeme kuwa Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais wa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu. Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Sigsbert Kavishe.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) mara baada ya kuapishwa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan, Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu na Mitawi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamza Khamis (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu. Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Sigsbert Kavishe.

=============================================================================

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024.

Katika hafla ya uapisho viongozi mbalimbali kutoka Ofisi hiyo wakiwemo Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, katikati ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano), Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmni Bw. Sigsbert Kavishe.

Kabla ya uteuzi huo, Bi. Mndeme alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na anachukua nafasi ya Dkt. Switbert Mkama aliyemaliza muda wake wa utumishi kwa mujibu wa sheria.

Mara baada ya uapisho Naibu Katibu Mkuu Mndeme aliwasili katika ofisi ndogo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini kitabu na kuzungumza na viongozi mbalimbali.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *