Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu. Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Sigsbert Kavishe.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamza Khamis (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) aliyeapishwa kushika nafasi hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Machi 13, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, wa pili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu. Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini Bw. Sigsbert Kavishe.

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *